Recent content by Genghiskhan

  1. G

    JamiiForums Tanzania NBA Special Thread: Ligi ya Mpira Wa Kikapu Ya Marekani

    Bulls 4ever japo tumepiteana muda
  2. G

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hyo 2-2 2>5+ hyo ni triple bet 2-2 wa ugenini aongoze kipindi cha kwanza na meisho wa mechi ashinde 2> kipindi cha pili ndo kiwe na magoli mengi then 5+ jumla ya magoli katika hyo mechi yaanzie jumla 5 option mojawapo ya hzo tatu ikitokea umewin
  3. G

  4. G

    We umebeti zenit ya watoto zenit yenyewe ya wakubwa ilikuwa inacheza na akron toggliat kifupi umechanganya madesa
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kesho chukua laki 8 mpe yanga mazima chelsea mazima faida laki 4 utakuja kunishukuru
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Na ni kampuni gani zenye hyo option maana iko poa sana
  7. G

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuflex maana yake nini mkuu kwenye betting na ni kampuni gani yenye hyo option
Back
Top Bottom