NACTE watabuluzwa Mahakamani sababu Tangazo waliotoa kipindi Kile Ni GPA 2.7 na watu waliomba kupitia Tangazo hilo mpaka mwisho wa kutuma maombi alafu baada ya mwezi mmoja unatangaza lile Tangazo ni batili kwahiyo Hamna Sifa Hapana NACTE wanayo kesi ya kujibu nchi hii haiendeshwi kifalme...
Kisheria Kwa mfano Mtu Alitenda Kosa Mwezi wa Kwanza Mwaka Huu Na Kesi Ikaanza Kusikilizwa Mahakamani Mwezi wa pili Na Kulingana na Kesi Akikutwa na Hatia Ni Miaka Miwili Sasa ilipofika Mwezi watatu Sheria ikabadilika Mtu Akitenda Kosa Kama Hilo Ni Kifungo Cha Miaka Mitatu....Je Akikutwa Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.