mkuu unapoongelea uongozi hauwezi kuongelea vyeti vya darasani peke yake . Inavyo onesha unauelewa mdogo sana kuhusu dunia inavyokwenda kama unadhani cheti ndio kigezo cha uongozi. Ingawa swala la Elimu ni lamsingi hasa katika dunia ya leo,lakini bado sio kigezo namba moja cha uongozi.
kikolo umeongea vizuri sana ila watanzania umefika wakati tubadili jinsi ya kufikiri tupo katika hali mbaya sana ,na kila mmoja wetu ajione kama kiongozi kwamba kila neno na tendo analo lifanya lina impact kubwa katika jamii yake. Tubadili mind set yetu kuanzia mtaani,mashuleni hadi maofisini...
Ukiongelea kuacha madini eti mpaka tuwe tayari huo ni udhaifu mkubwa sana kwanini asitumie yale madini kulijenga taifa ,hapo Nyerere alionesho kutokuwa tayari kuliongoza taifa,,
Tumefika hapa kwasababu ya udhaifu wa nyerere watu walikuwa wakilihujumu taifa lakini alikuwa hatoi adhabu eti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.