Niliwatumia email whatsapp customer care kuonyesha kwamba situmii fake whatsapp. Ikachukua kama siku sita kujibiwa baada ya Hapo whatsapp ikaanza kupiga kazi kama kawaida
Asante sana mkuu. Nasoma course ya banking and finance kwa ngazi ya degree. Faculty ni insurance and banking. Mpaka sasa ili niweze kuendelea na masomo inanipasa nilipie milioni moja na laki tatu na sitini kwa mchanganuo ufuatao;
Semester ya kwanza nilibaki na deni la 610000 na semester ya pili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.