Hawa mabalozi wafanye kweli maanayake wanaongea tu lakini wakifka kwenye ule wakati wanatoa pesa bado wanatoa kila mwaka wanatupiga maneno safari hii wafanye kweli potelea mbali tupate shida ya muda mfupi lakini nchi ikombolewe mafisadi waondolewa zitto aingie ikulu tuanze upya moto mbele
Kwani difenition ya neno fisadi ni nini sisi tunachojua fisadi ni mwizi mla rushwa wewe unasema sio lazima awe amepokea pesa sasa unatuchanganya wewe unasema Rutanziba kushiriki mchakato ni ufisadi hapa sasa unazimua maana ya mfisadi yeye ni mfisadi kwasasabu kala mshiko hapa sasa itakuwa ngumu...
Keli wewe unaongea tena habari ya kuruka kiunzi cha IPTL hapaswi kuruka kiunzi chochote moto kwa moto tu sasa ndio maana nasema ndugu Slaa anaweza kuwa legal troubble kwasasabu kwenye ile orodha amemtaja kama katibu mkuu wa nishati wakati wa mkataba wa IPTL hawa viongozi wetu hawana watu wa...
Ile orodha ya ndugu Slaa imesema kwenye nambari 5 kuwa ndugu Rutanziba amehusika na mkataba waIPTL sasa yeye Ruta anasema hakuwa wizarani wakati mkataba unasainiwa, tusaideni hapa ni nani anasema ukweli kama ndugu Slaa amekosea hii small detaili basi we'r in trouble ukweli ni upi ndugu zangu
kuupata peke yake hautoshi inabdi tupate yote tuilinganishe kama tumeliwa zaidi kwenye huu wa Buzwagi au mingine pia nayo iliyosainiwa hapa bongo nayo tumeliwa.
Ndugu lazima uelewe kila anayehoji urai wa mwingine ana motivate yake wengine ni kwaajili ya kuwatenga wengine wengine ni kwaajili ya kuharibiana biashara wengine ni kwaajili ya kuharibiana nafasi za siasa wengine ni kutetea maslahi ya nchi na wengine ni gele tu mimi naona mzee mwanakijiji...
Viongozi wetu hawa wamekosea kutogusia kabisa rushwa ya ngono ambayo ndiyo inamgusa mwanamke wa kawaida katika maisha yake ya kila siku na inamdhalilisha sana wanawake wakiomba kazi za uhudumu kwenye baa wanapewa mshahara shilingi 10,000 nyingine wanaambiwa watazipata kazini haya ndio masuala...
Safi sana ila nina wasiwasi kwamba kwa kumjumuisha jk kwamba ni mmoja wa mafisadi nchini wameiharibu hii orodha wabongo wanajua jk kama mtu binafsi sio fisadi ila manyangau wengi serikalini ndio mafisadi vilevile kwa kumweka rutanzibwa pia wameharibu kwasababu wangefocus na wanasiasa ambao ni...
Ndugu si ungeimaliza barua kabla ya kuileta maana yake kipande ulichoandika sio kirefu kabisa mimi najua wanaposema itaendelea ni kwamba nafasi inakuwa imeisha sasa ndugu umeandika nusu ukurasa halafu unasema itaendelea, lakini tunaingoja.
Mzee mwanakijiji nazipenda makala zako kwenye Kulikoni lazima umlime huyu jamaa wamezidi hawa wanyamulenge. ili tunakuangalia isiwe unamuandama kwasababu ya kumuonea gele kapata cheo na anasifiwa sana kama ni mtu makini wakati wewe hujulikani kabisa. Kwanza jamaa wote wa kule uhayani kule Ngara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.