Recent content by gelly mubanga

  1. G

    JamiiForums Tanzania Swali

    Wana JF Naombeni msaada wa jibu la swali hili ni kwanini mbu hawezi kueneza virusi vya ukimwi kwa njia ya damu?
  2. G

    JamiiForums Tanzania Nani rais mwaka 2015

    Samuel Sitta ni chaguo bora kabisa
  3. G

    JamiiForums Tanzania naombeni majibu

    Jamani wataalam nipeni majibu ya utata huu hivi ni kweli kwamba mbu hawezi kueneza virusi vya ukimwi kupitia damu anayo nyonya kwa mwathirika?na kama ndiyo ni kwa sababu zipi
  4. G

    JamiiForums Tanzania Account zote nchini kufungwa ikiwa hutarekebisha taarifa za account yako haraka!!!!!

    Mi akaunti yenyewe niyakuchukulia posho hata elfu hamsini haifiki nikapange folen eti na boresha taarifa zangu siku wakiona mwajiri wangu hajapeleka mshahara basi wajue taarifa zangu zimeisha hapo
Back
Top Bottom