Wanajamii
Ni muhimu sana ZZK akaweka mambo hadharani. Yeye ni deputy SG wa CHADEMA ana fahamu ukweli hivi inawezekana vipi mtu akachunguzwa miaka yote hiyo bila hata briefings kwenye vikao halali ambavyo yeye ni senior officer. ZZK anafahamu nani anatumika kumchafua asitumie loophole hii...
Hata kama ni Prof wakati mwingine ni muhimu kupimwa akili kwani upotoshaji upo dhahiri nahisi alisikilia habari hizi kwa majirani kwani waliofuatilia bunge walishuhudia kilitendwa kwa Lisu. Kwani naibu speaker jazba aliyoonyesha ni intellectual property (trademark) yake
Inasikitisha sana tunasaini a lot of international declaration kama vile Abuja declaration but we can not budget 15% for health budget zaidi ya kuingiza fedha kwenye chai. Watanzania twafa wao watibiwa India. Poa tu kwa Mungu wote sawa ufie Mwananyala au Appolo India udongo utalba tu
Hakuna hoja kwa sasa. The best thing is tanzanians to think about future. Je Karume alisimu lini kama Mapinduzi ya Zanzibar yalilenga kuuondoa uislam. Hatuhitaji kuongopewa Kwa sasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.