Recent content by gcmmedia

  1. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania KERO Kukatika umeme jijini Mbeya kumezidi

    Wiki hii leo ni siku ya 5 kila siku umeme unakosekana kutwa nzima jijini Mbeya. Zaidi siku ya hapo leo 09.08.2025 muda huu saa 4:40 usiku bado umeme haujarudi tangu ulipokatika majira ya saa 1 asubuhi. Cha kushangaza, hakuna taarifa yoyote iliyotolewa na TANESCO. Kuna nini?
  2. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Wagombea wengi ni ishara ya nini?

    Swali hili linalenga kupata maoni ya jumla tu na mtazamo wa wananchi katika kipindi hiki cha vuguvugu la uchaguzi
  3. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Je, wanachofanya Askofu Gwajima na Polepole ni harakati halisi au Propaganda za Kisiasa? Walikua wapi kabla ya mwaka wa Uchaguzi?

    Japo wanachosema na kupigania ni cha kweli, Nina wasiwasi kuwa ni propaganda za watawala kufifisha agenda ya wapinzani. Walikuwa wapi nyakati zote hadi wajitokeze wakati huu wa kuelekea uchaguzi? (Tuwaulize hawa Harakaharaka na Askofu anayefufua). Nafikiri nje ya box. Propaganda ni somo kubwa...
  4. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha dar es salaam na mfumo wa unyonyaji

    Hawalipwi
  5. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha dar es salaam na mfumo wa unyonyaji

    🫢 soma tena
  6. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha dar es salaam na mfumo wa unyonyaji

    Kweli kabisa
  7. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha dar es salaam na mfumo wa unyonyaji

    Ndiyo
  8. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha dar es salaam na mfumo wa unyonyaji

    Kwa muhula wa pili nimefuatilia namna Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinawanyonya na kuwaibia vijana wanaowabakisha mara baada ya kuhitimu masomo kwa ufaulu mzuri ili kusaidia ufundisha
  9. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na mfumo wa unyonyaji kwa wanafunzi wanaobaki baada ya kumaliza Masomo

    Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinawanyonya na ninahisi kimejengewa mfumo usio rasmi wa kuwaibia vijana wanawabakisha mara baada ya kuhitimu masomo kwa ufaulu mzuri ili kusaidia kusimamiw semina na kufundisha (tutorial assistants). Vijana hawa kwa muhula wa pili sasa mwaka huu hawajalipwa malipo...
  10. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania USAFI UDUMISHWE KATIKA MABASI

    Mabasi ya safari hasa haya VIP na VVIP (yenye huduma ya choo ndani) usafi udumishe ili kuondoa KERO ya harufu mbaya ndani ya basi.
  11. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Mamlaka zidhibiti video zinazoonyeshwa ndani ya mabasi

    Ukiwa unasafiri kwa mabasi ya kwenda mikoa mbalombali kuja video za muziki, filamu au vichekesho huoneshwa humo kuburudisha wasafiri. Lakini kwa baadhi ya video maudhui yanawwza kutazamwa na rika miaka zaidi ya 18. Katika mazingira ya basi ambapo kuna watoto na wanandugu wanasafiri ni muhimu...
  12. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Viongozi dhaifu

    Viongozi dhaifu ni wale wanaopenda kusikia kile wanapenda kusikia, wagumu kusikia ama kupokea mawazo mbadala yanyokinzana na mawazo Yao. Hukimbilia kushughulikia watu (attack personality) na si kushughulika na hoja (do not deal with issues). Kuna haja ya kufundisha (wanasiasa, wakuu wa taasisi...
  13. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Hizi dawa wanauza wamasai zinatibu kweli?

    Juzi katika pita pita jijini Dar es Salaam nakutana na Maasai mmoja ananiambia aniuzie dawa inaotesha nywele (aliona kipara kinanianza); nimejiuliza hili swali “hivi hizi dawa wanauza maasai zinatibu kweli?” Mwenye ushuhuda aniambie
Back
Top Bottom