Recent content by GBorLog Mwakyembe

  1. GBorLog Mwakyembe

    Naomba Ushauri wa kuuza Biashara ya vitenge

    Nikiwa nachukulia Dar es salaam kaliakoo
  2. GBorLog Mwakyembe

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    NAOMBENI MAONI AU USHAURI WENU Wakuu mi nakaa Dar es salaam(Kaliakoo),Nilikuwa nataka kufunga biashara ya vitenge mkoa wa mbeya(Tukuyu) nikiwa na mtaji wa Tshs million moja, nitajumua wapi bizaa bora na kwa bei nafuu na zinazo weza fika kiulahisi mahali husika.
  3. GBorLog Mwakyembe

    Naomba Ushauri wa kuuza Biashara ya vitenge

    Ndugu zangu habari ya subuhi. Naomba ushauri nataka kuanza biashara ya vitenge mkoa wa Mbeya (Tukuyu) kwa mtaji wa Tshs. million moja na nusu. Kwa hiyo naombeni ushauri wapi naweza kujumua kwa bei nafuu na inaweza kunifikia kwa urahisi, Asanteni
Back
Top Bottom