Recent content by Gatham

  1. G

    JamiiForums Tanzania Ni upi ukweli kuhusu Nguva (Samaki mtu)?

    Mimi nimesoma wildlife nilipokuwa chuo, lkn tunamsoma Nguva kama mnyama anaeishi katk maji na haswa baharini, na mtu alie eneza uvumi huu alikuwa ni Christopher Columbus aliegundua bara la America ndo alisema akiwa safarini ktk bahari alionana na samaki mtu mara 3, hapo ndo ikaanza dhana nzima...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Ni upi ukweli kuhusu Nguva (Samaki mtu)?

    Hahahaaa
  3. G

    JamiiForums Tanzania Ni upi ukweli kuhusu Nguva (Samaki mtu)?

    Hayupo, sasa kama nguva wote ni wa kike wanazaanaje? Story tu hizo
Back
Top Bottom