Kwa kuzingatia haki za watoto ni kosa kisheria kuweka ndani mfanyakaz aliyechini ya miaka 18...ko ata hapo ulipo umefanya kosa kisheria na unàpaswa kuchukuliwa hatua!!
Mi chakukushauri tafuta mfanyakazi ambae ni 18+...hapa umeanika makosa yako hadharani yanayowezakukutia hatiani!!
Sent from...
Natafuta Mashine ya kukamua mafuta ya alizeti ka kuna MTU yeyote anayehusika na uuzaje Mashine hizo..Naomba tuwasiliàne kwa namba hii:+255758136016
Nipo mkoa wa Rukwa,tz
Unatafuta rafki wa kike mtandaoni ili ufanye nae kazi ya biashara au awe mpenz, mchumba/Mke weka wazi mi apo cjakuelewa mkuu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.