Kuna hizi kazi za tenda wanatangaza sana halmashauri, ya kufanya usafi na kuzoa taka ngumu na kwenda kutupa dampo.
Kazi hii kiuhalisia sio ngumu lakini ugumu unakuja kwenye malipo yaani wanataka pia ukusanye ushuru wa taka na 30% ulipe halmashauri inayobaki ya kwako, issue ngumu hapa ni kudeli...
Habari wadau,
Mimi sina sifa ya kukopesheka Bank,
Hivyo nina shida ya mkopo wa M3 kwa mtu binafsi
dhamana niliokua nayo ni kiwanja kipo songea changalawe kipo barabarani kabisa
kiwanja kina kibanda cha chumba na sebule na mbele kuna nyumba ya block najenga ipo nusu
mkataba wa mauziano ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.