thanks zimfikie pia na mtoa mada. na ajiulize iweje mafuta yanayopitia bandari ya Dar yakauzwe bei ndogo kuliko tz bara pia ajiulize zanzibar inalipa ushuru, japo naweza msaidia kwamba zanzibar inalipa ushuru inapopitisha mafuta bandari ya Dar.
umeonae, thanks. alitakiwa kuwa mkali kwa wafanyabiashara watakao pandisha bidhaa bei bila utaraibu tena angeonya kwa sauti kali na yenye mamlaka kwa kusema .
yeyote atakae tumia vita ya Urusi na Ukreini kupandisha bidhaa bei atafungiwa leseni na kupelekwa mahakamani kwa kesi ya uhujumu uchumi...
naomba kujua bei za mafuta zanziba zipoje kabla hatujaenda huko unapo tupeleka, tukumbuke tunapo fananisha hizi bei tusikimbilie kuchukua mifano ya bei ya juu tuu tuchukue na ya bei ya chini pia, lakini tunapofananisha pia tuangalie na kipoto cha chini cha kila mwananchi cha nchi husika...
kisiasa wizara ya nishati si wizara nzuri kuwepo mwanasiasa mwenye malengo, ni wizara ambayo inawagusa moja kwa moja wananchi na ukiboronga wanajua ata wasio na upeo wa utambuzi wakujua watajua, mfano umeme unakatika masaa kazaa msimu wa mvua nchi nzima yule mwanakijiji aliekuwa anaenda kusaga...
mtafute C. MUSIBA akushauri maana kuna kauli aliwahi isema wakati lisu anarudi tz kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu nazani sasa hivi anaweza kuwa mshauri mzuri tuu, au mzee wa kutumia dola kubaki madarakani na sasa ameshindwa kutumia dola kubaki na ukatibu mkuu aliokuwa nao.
unaposema hii wizara ni ngumu weka mifano yakutuonyesha ugumu wake.
kumbuka katika wizara inayoingiza pato kubwa serekalini ni pamoja na hii, kwa mantiki hiyo upigaji ni mwingi mno pia ni wizara ambayo mwananchi wa kawaida anaweza kuona udhaifu moja kwa moja mfano kukatika umeme mara kwa mara...
tatizo sio uzee, tatizo ni kuongozwa na wchumia tumbo. watu wasio na uchungu wa kweli na tz ya sasa na ya baadae wasio na ucgungu na wele wanaoadhirika na madhara yatokanayo na kile wanachokiteteta.
speech kama hizi zinaharibu na kutia aibu nchi yetu na zinasababisha tuendelee kudharaulika kimataifa na pia kudharaulika na nchi majirani. ifike wakati wasomi wetu mutuondolee aibu kama hizi.
watuambie ni aina gani ya mafuta na yanatokana na aina ipi ya mimea na hiyo mimea kwanini iwe chini ya mto mara peke yake maana tz tuna mito mingi sana na kwa asili ya uoto wa tz mimea mingi inafanana kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
duu hao ng'ombe ni wa aina gani? na je wanashinda ndani ya mtoo 24hrs kiasi cha kwamba huwalazimu kila wakitaka kujisaidi wajisaidie ndani ya maji au kila wakiona maji choo huwabana. prof anataka tuanze kukagua vyeti vyake? ndiyo maana mbunge Msukuma anawazihakigi hawa wasomi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.