mpaka sasa mabomu yanapigwa rakini wananchi wameapa hawaondoki halmashauri ya jiji la mwanza mpaka kieleweke mabomu yanapigwa watu wanalala chini
Masha hajashinda hata kituo kimoja iweje atangazwe mshindi kama hawataki mauaji kama yaliyotokea kenya?
Mwanza wamegoma kutoa matokeo wanasingizia eti network iko slow eti wanataka ku attach karatasi za matokeo kwa tume ya uchaguzi
rakini nawahakikishia network iko very fasta mimi mwenyee natumia internet
Hata akija mwanza wananchi wa mwanza tumeshaamua kumuadhibu pamoja na mafiga yake yote,na kama wakichakachua watawajibishwa kwa maafa yatakayotokea baadae maana taarifa za vituo vyote tunazo kama nyamagana hawana hata kata 1
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.