Mkuu nataka kurekebisha post yako muvi ya yellow banana hakucheza kanumba mhusika mkuu ni Ray( Vicent Kigosi) na actors wengine.Suala la kuwanyanyasa wanawake kwenye muvi si dhani kama lina uhalisia wowote na maisha halisi ya mwigizaji may be ulete ushahidi mwingine.Pamoja na mapungufu yake...
Ni pigo kwa tasnia ya filamu bongo,Kanumba aliifikisha tasnia ya filamu bongo katika level ya kuanza kukubalika kimataifa,tukio la muvi yake ya Devils Kingdom kuingia katika kushindanishwa katika tuzo za filamu za West Africa linathibitisha hili.Namkubali sana katika muvi zake nyingi alizoigiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.