Recent content by Garmaaa

  1. G

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Kinachoendelea mitandaoni kuhusu "No Reforms, No Election" ni UPUUZI

    🤣Hahaha 🤣hahaaaa
  2. G

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu na Tamisemi ingilieni kati baadhi ya shule zimegoma kutoa likizo ndefu kwa mujibu wa ratiba ya Wizara ya Elimu

    Kama ilivyo kwa Murubona Secondary Kasulu Kigoma. Wazazi wanachanga elfu65 kwa mwezi Wanafunzi wakae Shule mpaka mwez wa 9
  3. G

    JamiiForums Tanzania Nadharia mbili alizozi "prove wrong" Samia

    Unamaanisha Mashoga walioko kwenye ndoa za jinsia moja huko Marekan matendo yao ya faragha ni tofaut na wanavyo tenda Mashoga wa Kitanzania wawapo faragha?
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kwa mtazamo wangu hii ndo mikoa inayoongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya walevi

    Umesahau na Manyara pia
  5. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia, hakuna aliyewahi kushindana na Kanisa akashinda!

    Ila asahau kile kipigo kwa Father Kitima?
  6. G

    JamiiForums Tanzania Kushambuliwa kimtandao (Cyberstrike) na kuzuiwa wanaharakati wa Kenya uwanja wa ndege; Watanzania tusimame pamoja

    Bora iwe hivyo. Hayo yote uliyoyataja hatufaidiki nayo sisi Wanainchi wa chini! zaidi wanao faidika ni watawala na machawa wao.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Mwanza: No Reforms No Election yapokelewa kwa kishindo

    Au atakuwa yupo pale CHAKAzimbwe😁
  8. G

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Seneti ya Marekani itajadili hali ya Kisiasa Tanzania wakati wowote mwezi huu, hapa CCM lazima wapoteane

    N Nyie Serikali ya Ccm Wazungu wanapo wapatia misaada huwaga mnawapa nini?!
  9. G

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu ambao huwezi ambiwa na CCM: Nusu ya Watanzania tumepata Umeme na Maji kwa Msaada wa Umoja wa Ulaya

    Chini ya utawala wa ccm ulio jaa viongozi Walafi na wezi wa mali za umma Nchi hii haitoweza kusimama ijitegemee yenyewe! Mabeberu kila wanapowachana ukweli kwa uchafu na upuuzi wenu ndo mnakumbuka tena ngonjela zenu, kama hizi za kujifunza kujitegemea
  10. G

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu ambao huwezi ambiwa na CCM: Nusu ya Watanzania tumepata Umeme na Maji kwa Msaada wa Umoja wa Ulaya

    Huu ujumbe wako unawahusu hao Viongozi wako unaowatetea humu, ambao wanaifisadi Nchi na pia Matumizi ya pesa hovyo. Halafu pesa za miradi ya maendeleo wanaenda kuomba huko kwa Wazungu
  11. G

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu ambao huwezi ambiwa na CCM: Nusu ya Watanzania tumepata Umeme na Maji kwa Msaada wa Umoja wa Ulaya

    Zaidi ya miaka 60 ya uhuru ambao ni umri wa Mzee bado hamjaweza kujitegemea? Leo hii ndo mnataka mjifunze kujitegemea baada ya Mabwana zenu Wazungu wanaowapatieni misaada, kuwakemea kwa uovu wenu!
  12. G

    JamiiForums Tanzania Mzungu anakuambia mpende Raia mwenzako, mpende Mwafrika mwenzako usimdhuru wewe unajibu "usiniletee ushoga". This is more than stupidity

    Hata nyie hao Wazungu ni Mabwana zenu! mnafunga safari kwenda kuwaomba msaada
Back
Top Bottom