Wakuu, kama mtu unamatumizi daily ya mobile internet, hivi vifurushi vya postpaid na SME ni msaada mkubwa sana.
Hivi vifurushi vya Postpaid (Tigo & Vodacom) pamoja na SME (Airtel) vina UNAFUU mkubwa mno.
Look at the context.
Kwenye hivi vifurushi unauziwa 1GB kwa bei ya 857/= mpaka 1666/= tu...
Ipo. Call customer care watakuunga na agent wa postpaid.
Vifurushi vyao vya mobile internet vinaanzia 50,000 per month.
Unapata G30 for 1 month at the rate of 2-5MB/s. Ukizimaliza hizo GB before the 30 days period wanakupa free browsing mpaka siku 30 ziishe. (Ila at a lower surfing speed.)
Best Saxophonist there is.[emoji119][emoji119][emoji119]
Jamaa anapiga Sax mwanzo mwisho..no words.. na anafanikiwa kukuvuta kihisia kwa melody anazopiga.
Nyimbo zake nyingi zimetumika kwenye vipindi vya redio za Tanzania. Kile kipindi cha Diva Loveness Love usikuuu.. kile kipindi cha jumapili...
Soul sessions list
Peabo Bryson - Tonight I celebrate my love
Lionel Ritchie - You are the sun you are the rain
James Ingram - Always
Boys 2 Men - End of the road
Judy Boucher - Cant be with you tonight
KcI & Jojo - All my life
Trisha Yearwood - How do I live
Foreigner - I want to know...
Hii sio promo ya ofa. Ni swali wakuu.
Start of quotation
"OFA OFA OFA KWA LINE ZA HALOTEL TU
CUG BUNDLES YA SIKU 30
15,000
GB 6
SMS 600
DAKIKA 550
VOCHA YA 8,000 - 9,000
25,000
GB 15
SMS 1000
DAKIKA 1100
VOCHA YA 17,000 - 19,000
Nb: hii vocha unaweza kujiunga tena kifurushi chochote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.