Hakuna chakwa mujibu Wala historia Kwa mana Hata kabla ya kuja huyo sultan Bara ilikua na falme zake zakieneo Kwa mantiki iyo sultan w zanzbr ni mvamizi Kama walivyokua wavamizi wengine wa Kigermany na Kiingerez...
Ramani ipi, Kwa mana hata kabla ya Sultan kuja hapa Tanganyika ilikua n milki zake za kifalme kwaivo , ilo swala sahau pia tambua zenji Haina mwenywe ndio mna Tz Tunaitawala mpka kesho Kwa vijisenti vichache
Rushwa imefanywa sana na hakuna Mtz asiyefahamu Kama ripoti ya CAG ilibamiza vichwa vyetu ssa iwe je unawaita wajinga ilhali Wenye Akili Wametulia wakiangalia Rushwa zikiendelea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.