Recent content by Ganador

  1. Ganador

    Vinyozi wanahitajika Morogoro

    Habari wadau Ninahitaji vijana wawili wanaojua kunyoa,sifa zao ziwe kama ifuatavyo 1.Wawe ni waaminifu wenye hofu ya Mungu na awe anishi Morogoro mjini 2.Wawe wanauzoefu wa kunyoa kwa muda usiopungua miaka mitatu 3.Wawe wanaweza kunyoa mitindo yote 4.Elimu kuanzia darasa la 7 mpaka form four na...
  2. Ganador

    Ofa ofa ofa: Responsive web design

    Tuonane pm mkuu
  3. Ganador

    Ofa ofa ofa: Responsive web design

    Anza mwaka 2017 ukiwa na website ambayo inamuonekano mzuri katika vifaa vyote kama PC, laptop, ipad, iphone, tablets etc(responsive website). Natengeneza website kwa bei nafuu hii ni maalum kwa kukusanya fedha kwa ajili ya kazi ya Mungu. Unahitaji website mpya au una website unataka kuiboresha...
Back
Top Bottom