Recent content by gamsonyilemayoka

  1. gamsonyilemayoka

    JamiiForums Tanzania Samsung power supply 40"

    Natafuta mtu mwenye power supply ya samsung km tv yako imevunjika kioo au unayo kwa namna yoyote Ile. Size ya screen ni 40" see attached picture
  2. gamsonyilemayoka

    JamiiForums Tanzania Serious issue

    Naota au
  3. gamsonyilemayoka

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuchimbiwa kisima cha maji

    Pump unanunua wewe. Ila watakusaidia kuifunga wao wataweka pvc casings na gravel parking
  4. gamsonyilemayoka

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuchimbiwa kisima cha maji

    Wachimbaji wanachimba kwa mita so itategemea maji yatapatikana urefu gani lkn around 30,000/- hadi 50,000/- kwa mita moja hyo bei inajumuisha mpk completion na casing
Back
Top Bottom