Shame on you,kazungu kambi,umetumwa na umetumiwa,na viongozi kama nyinyi ndio munao rudisha pwani nyuma,hata umewachwa kwenye mataa,that is a hate speech,unatia chuki baina ya wa pwani,waislamu na wasokuwa waislamu.mijikenda na wasokuwa mijikenda.tutaenda wapi kama wapwani,aibu aibu aibu!,.