Palestinians are not going anywhere.
They can kill as many Palestinians as their evil souls suggest to them to do, but the Palestinians will die in that very soil
Na Dr Mutatis Mutandis
Nimefuatilia kiukaribu sana sakata hili linalomhusu ndugu Humphrey Polepole nilichoking'amua ni kuwa ndugu Polepole (wa leo) kwake CCM ndiye mzaliwa wa kwanza na Taifa ni mtoto wa kuasili (adopted child). Kwa hiyo mapenzi yake, roho yake, liwazo lake ni CCM kwanza...
Na Twahir Kiobya (The Man)
Kipyenga cha nafasi ya uwenyekiti katika chama cha CHADEMA kimeshalia, na tunaambiwa kuwa kutakuwepo mdahalo wa wazi baina ya wagombea wa nafasi hiyo yaani Tundu Lissu na Freeman Mbowe.
Hili ni jambo zuri maana linatoa fursa kwa wagombea kueleza malengo, dhamira na...
Hawa ni aina ya watu ambao Nyerere alisema kila alipotaka kung'atuka kuna watu walimwambia mzee endelea bila wewe nchi itayumba!
Baadae mwalimu aligundua kumbe walikuwa wakitetea matumbo yao maana hawajui kama ajaye atawapa nafasi za uongozi tena!
Kama hana nafasi ndani ya kamati kuu, na kukosa portfolio ya kuwa kiunganishi baina ya wanachi na chama itakuwa ni rahisi kwa maadui wake wa kisiasa ndani na nje ya chama kumpungizia ushawishi.
Na : Twahir Kiobya (The Man)
Ni rasmi sasa Lissu anautaka uenyekiti ndani ya CHADEMA. Ametangaza nia yake kupitia vyombo vya habari na umma umesikia.
Azimio hili la Lissu ni uamuzi mzito na ni la kihistoria ktk chama cha CHADEMA. Kama Mwenyekiti wa sasa ndugu Freeman Mbowe atagombea uenyekiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.