Nijuavyo, class "C" ilibidi wote bila kujali uliipata mwaka gani, warudi darasani na kupewa vyeti baada ya kufuzu.
Nisichojua ni kama hata hao wenye vyeti watalazimika kurudi darasani tena ukifika muda wa kuhuisha leseni zao.
Kwamba mahakama ndio sehemu ya watu incompetent! Tunashusha viwango vya JF kwa kuanzisha nyuzi zisizostahili kuanzishwa, na mods hata hawaoni kama ni tatizo.
So sad.
Tunataka ccm itoke madarakani na iondoke jumla. Ile ya lowasa 2015 ingekuwa kubadili jina la watawala lakini watawala wakibaki walewale.
Makosa yale ya kijinga yesijerudiwa tena.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.