Balile aache tabia ya unafiki na kupenda bahasha. Yaani Waziri aache kwenda bungeni ahudhurie vikao vya mishiko? Sasa alitaka sura ya Silaa au uwakilishi wa Wizara. Yaani anadiriki kudharau uwepo Naibu Katibu Mkuu? Balile ana kiburi sana! Yaani ameona Naibu huyo si kitu!
Alafu hicho kigenge...
Zoezi linasuasua Hadi aibu!
Licha ya viongozi wa kiserikali na wale wa kisiasa kuhamasisha watu wajitokeze lakini wamegonga mwamba.
Watu ni kama wamepigwa ganzi hawana shauku Wala hamu na zoezi Hilo. Nikama wamesusa au wamekata tamaa.
Uzuri ni kuwa wenye dhamana wamekiri zoezi kusuasua. Na...
Muda mfupi sana tangu Mzee Kinana ajiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti bara, pametokea mambo mazito yenye kuchafua 'sura' ya nchi. Hapa nazungumzia utekaji, utesaji na mauaji.
Najiuliza huyu Mzee alinusa maandalizi ya matukio haya?
Maana hata kujiuzulu kwake Kulikuwa kwa ghafla na kwanamna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.