Recent content by gabs2014

  1. gabs2014

    Natafuta engine ya Toyota 4S-FE

    Wanajukwaa, natafuta engine ya Toyota 4S-FE kwa maeneo ya Dar, kwa aliyenayo tuwasiliane.
  2. gabs2014

    Unapositisha ghafla mkataba wa Fixed Account na Benki,hakuna penalty unayopigwa?

    Unapositisha mkataba wa FD,hakuna penati zaidi ni kutopata ile riba ambayo ilikuwa uipate pale FD itakapoiva. I stand to be corrected hapo.
  3. gabs2014

    Rushwa Fixed Account: Msajili na Gavana wanatuona watanzania hatuelewi chochote

    Wanaosema sahihi, sio kana kwamba ni wanufaika wa hii miamala, zaidi ni vile kutoa maoni yao kutokana na uelewa wa jambo hili.
  4. gabs2014

    Rushwa Fixed Account: Msajili na Gavana wanatuona watanzania hatuelewi chochote

    Pascal , kama nimekuelewa unachopinga ni watu wa taasisi za serikali wasichukue izo kamisheni, kama ikitokea wakipewa na hayo mabenki.
  5. gabs2014

    Rushwa Fixed Account: Msajili na Gavana wanatuona watanzania hatuelewi chochote

    Well said, nahisi wengi humu hawaelewi hii issue ya FD inakuwa. Kama Bot na wengineo wanasema kuweka FD sio dhambi, then kinachohitajika ni uwazi tu na matumizi sahihi ya hizo Interest Income, na tukumbuke pia kuna KODI inakokotolewa katika hizo Interest income.
  6. gabs2014

    Rushwa Fixed Account: Msajili na Gavana wanatuona watanzania hatuelewi chochote

    Pesa ipi sasa? mbona unazunguka sana,
  7. gabs2014

    Rushwa Fixed Account: Msajili na Gavana wanatuona watanzania hatuelewi chochote

    Naelewa iyo issue, impact iko katika vitabu vya benki. Muwekaji FD hana anachopoteza hapo. Tatizo ni kuwa wasipewe hizo posho?
  8. gabs2014

    Rushwa Fixed Account: Msajili na Gavana wanatuona watanzania hatuelewi chochote

    Ukifanya tathimini ya haraka, invyoonekana ni kuwa tatizo ni interest inayopatikana kwa kuweka fedha katika FD. Sasa nini kazi ya wakaguzi wa mahesabu? Je hawazioni hizi interest katika vitabu vya taasisi husika?
  9. gabs2014

    Tuache Siasa ktk Uchumi: Wachumi tuelimisheni Dhambi ya Fixed Deposit na Faida ya Fedha Kukaa tu BoT

    Nimefanya kazi katika taasisi za fedha, kuona haya mambo FD, najua kwa undani utaratibu ulivyo. Kwa hiyo siandiki kwa kukurupuka la hasha.
  10. gabs2014

    Tuache Siasa ktk Uchumi: Wachumi tuelimisheni Dhambi ya Fixed Deposit na Faida ya Fedha Kukaa tu BoT

    Ukipitia bandiko lake yenye anasema individuals wanachukua hizo riba, ndio ninapopinga. Kwa kuwa katika hizo taasisi hakuna signatory mmoja.
  11. gabs2014

    Tuache Siasa ktk Uchumi: Wachumi tuelimisheni Dhambi ya Fixed Deposit na Faida ya Fedha Kukaa tu BoT

    Ndugu, unajua taratibu za kufungua FD kwa taasisi zilivyo? Ukizielewa hizo taratibu utapata maana ya kwa nini sio rahisi kutoa hizo riba zilizotokana na iyo FD.
  12. gabs2014

    Tuache Siasa ktk Uchumi: Wachumi tuelimisheni Dhambi ya Fixed Deposit na Faida ya Fedha Kukaa tu BoT

    Waraka uliotoka ulisema kuwa pesa zote za serikali zitolewe katika banks za biashara na kuwekwa BOT. Na tangazo likaendelea kuwa taasisi ziweke utaratibu wa kuchukua fedha za matumizi yao labda ya mwezi na kuweka katika hizo banks zao za biashara. Sasa kama TRA, walipewa pesa zao labda on...
  13. gabs2014

    Kiama: Vocha za simu kukatwa kodi ya VAT kabla ya kuzitumia!

    Hapo kabla,hii kodi ilikuwa ikilipwa na kampuni za simu. na mteja ulikuwa ukinunua vocha ama kununua salio toka tigo pesa,mpesa na airtel money hiyo kodi ilikuwa inajumuishwa kwa pamoja. Sasa kampuni husika, zimeleta hizi kodi kwa mtumiaji wa mwisho ambaye ni mmiliki wa simu.
Back
Top Bottom