Recent content by Gablian

  1. G

    JamiiForums Tanzania Pre birthday present ya Auntie Ezekiel kwa Wema Sepetu

    🤣🤣🤣😂😂😅😅😂😂😔
  2. G

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ‘aingia’ jimboni kwa Lissu

    Hivi sasa mlitegemea rais aseme uongo?
  3. G

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ‘aingia’ jimboni kwa Lissu

    Hivi sasa mlitegemea rais aseme uongo?
  4. G

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, so far, is the best president this country has ever had. Msikivu, ana upendo na huruma. Atabarikiwa sana. Tanzania itabarikiwa!

    Binafsi namuunga rais mkono kwa asilimia mia moja. Ni rais borà zaidi aliyewah lutolea tz ukiachilia Ben mkapa
  5. G

    JamiiForums Tanzania Joseph Roman Selasini (MB): Naibu Spika; Kufuru uliyofanya dhidi ya Ukristo haivumiliki

    Msalaba ni.neno la upumbavu kwao wasio amini bali ni ukombozi kwake aaminiye
  6. G

    JamiiForums Tanzania Joseph Roman Selasini (MB): Naibu Spika; Kufuru uliyofanya dhidi ya Ukristo haivumiliki

    Ni kweli kabisa wale ni wezi.wa chadema na ndio mana mboga picha kafia morogoro Leo na waombolezaji sita wamefia uporoto na kuacha wenzao mahututi hosp
  7. G

    JamiiForums Tanzania David Nkuba a.k.a Mac D hatunaye tena.

    Mohamed mtoi.. .sijui unaona yanayoendelea huko cdm Leo?
  8. G

    JamiiForums Tanzania Jafo anaweza kuwa ndiye waziri mbovu na kituko zaidi wa TAMISEMI tangu nchi hii ipate uhuru

    Erythrocyte ona sasa akili yako. Badala ya kujibu hoja una ni attack kuwa nimejiunga Leo. Jibu kwa hoja kuhusu ww kumwona kingwendu ni mtu hovyo so jaffo alipambanishwa na hovyo
  9. G

    JamiiForums Tanzania Inasemekana mama Diamond Platnumz (Bi Sandrah) ni mjamzito

    Hongera kwao na kila la heri
  10. G

    JamiiForums Tanzania Jafo anaweza kuwa ndiye waziri mbovu na kituko zaidi wa TAMISEMI tangu nchi hii ipate uhuru

    Inataka kuwa na akili ya mleta mada ili kuweza kusapoti uzi wake. Hivi kwako kiongozi kingwend ni mtu dhaifu na wa hovyo sana kutokea kiasi kwamba unaona jafo alipambanishwa na mtu wa hovyo? Kosa la ukawa kwenye uchaguzi uluopita ni moja tuu. Kuona kuwa wengine.wote.ni.dhaifu na kwamba mtu...
Back
Top Bottom