Sahii focus kwanza kwenye masomo upate cheti kwanza, Kwa maana kwamba Fanya necta then unavyo subiri majibu utakuwa na muda mwingi wakutafuta pesa ndugu yangu baada kutoka majibu ya necta akili itatulia mdogo wangu zidi kumwomba mungu mungu ufaulu necta
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.