Recent content by G4rpolitics

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kabla hatujacheza, tunataka mtwambie kwa nini mechi ya tarehe 15/06/2025 Iliahirishwa, na kwa nini tucheze kesho?

    Hatuna zaidi, ila tupewe tu majibu, nini kilitokea tarehe 15/06 hadi mechi ipelekwe tarehe 25/06, bila majibu ya kueleweka msimamo wetu ni ule ule, HATUCHEZI KESHO!
  2. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mapokezi ya Mpina Kisesa ni balaa — apokelewa na maelfu ya wananchi

    He is behind himself, Mpina anajiuza mwenyewe, sasa tunataka tuone watakavyo mkata! Na wamlete nani
  3. G

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe: Bodi ya Ligi ikisikiliza na kutekeleza mahitaji yetu tutacheza Kariakoo Derby ya Juni 15, 2025

    Ifanye au isifanye, lazima mtacheza tu! Mnashindwa mtafanyaje na zile Tshirt na yale magari mliyo andika, aibuu!!
  4. G

    JamiiForums Tanzania Mwamuzi aliyekataa goli la Aziz K dhidi ya Mamelodi amepangwa kuchezesha fainali Simba VS RS Berkane Mei 25, Zanzibar

    Umejuaje kuwa ni yeye make hata Jia lake hujalitaja?
  5. G

    JamiiForums Tanzania Sipati Picha Kama Hili La Wachezaji Wa Singida BS Kupewa Uraia, Kama Rais Angekuwa Magufuli?

    Sheria ya nchi ndo ifuatwe, hakuna anaye kataa!
  6. G

    JamiiForums Tanzania Sipati Picha Kama Hili La Wachezaji Wa Singida BS Kupewa Uraia, Kama Rais Angekuwa Magufuli?

    Kweli kukumbukwa ndo huku!
  7. G

    JamiiForums Tanzania Sipati Picha Kama Hili La Wachezaji Wa Singida BS Kupewa Uraia, Kama Rais Angekuwa Magufuli?

    Kweli bdo tuna safari ndefu mkuu, kuwaelimisha watu kama hawa mwenye hii karne!
  8. G

    JamiiForums Tanzania Sipati Picha Kama Hili La Wachezaji Wa Singida BS Kupewa Uraia, Kama Rais Angekuwa Magufuli?

    Hii ni ajabu mkuu, tupo kwenye nchi ya maajabu
  9. G

    JamiiForums Tanzania Sipati Picha Kama Hili La Wachezaji Wa Singida BS Kupewa Uraia, Kama Rais Angekuwa Magufuli?

    Wachezaji wenyewe hata hawawezi kupata namba kwenye timu ya Taifa ni wa kawaida saana!
  10. G

    JamiiForums Tanzania Sipati Picha Kama Hili La Wachezaji Wa Singida BS Kupewa Uraia, Kama Rais Angekuwa Magufuli?

    Naiona Kama ni skendo inayo hitaji kutazamwa vizuri, watu tayari wangekuwa wamesha tumbuliwa, kuanzia Mawaziri hadi Makatibu, sasa hivi kungekuwa kumesha changamka muuuuda! Mtu ana wiki 2 Bongo kupewa uraia, hiiiii!
  11. G

    JamiiForums Tanzania Ukimuondoa Zamalek Kombe la Shirikisho naomba, wanitajie timu ambayo ingeweza kuichalenge Yanga hii iliyotolewa Klabu Bingwa!

    Hizo nguvu zooote unazotumia, je, hujui kuwa hilo kombe ndo limeiweka yanga kwenye ranking iliyopo? Uliona wakitoa point za shirikisho na kuziweka pembeni kuwa ni kombe la kipuuzi? Ukitaka kujua umuhimu wa hili kombe, toa point za Yanga ilizozipata kwenye shirikisho halafu uweke ranking, yanga...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Simba tupeleke kileleni leo, inshaallah

    Aombaye hupewa, na umepewa!
Back
Top Bottom