Recent content by g2020

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakamani: Mbunge wa Arusha Godbless Lema apata dhamana

    sidhani kama atatoka tumuombe mungu
  2. G

    JamiiForums Tanzania Siku ya Sheria nchini: Rais Magufuli ahutubia, agusia mgogoro wa AG na DPP

    Safi sana mheshimiwa rais nakupongeza kwa namna ulivyomsaidia huyo mama mjane, hakika wanyonge hawana HAKI MUNGU akubariki na kukulinda. Kazi kwao kwa waliopewa kazi ya kushughulikia hiyo kesi ya huyo mama mnyonge.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mtwara yakumbwa na mgao mkali wa umeme

    Mie naishi indian quotars umeme huwa unakatika na hatujui shida ni nini na wala hatuishi na viongozi wa serikali wala chama wengi ni wananchi wa kawaida ila tatizo limekuwa kubwa. Hatujui tanesco mtwara wanatatizo gani.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Korti Kuu Arusha yashindwa kutoa uamuzi, mbunge Lema arudishwa rumande

    kwa nini asipelekwe mahakamani akasomewa mashitaka kuliko kukomalia rufani za dhamana??? hivi ni kwamba imeshindikana kukidhi vigezo vya kupewa dhamana au kuna mengineyo???
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha CHADEMA 'kuimport' viongozi wa Kanda kutoka Kaskazini, je nini nyuma ya pazia?

    Hivi hivi mnaeneza huo ubaguzi ili uwasaidie nini??
  6. G

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha CHADEMA 'kuimport' viongozi wa Kanda kutoka Kaskazini, je nini nyuma ya pazia?

    N nachukia mtu anaeeneza ubaguzi, na anaongea hivyo ili itusaidie nini? Kama mtu anasifa hivi nivibaya akichaguliwa??? i hate a political attacks
  7. G

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo kuwafikisha Mahakamani wadaiwa sugu 142,470 kama wakishindwa kulipa ndani ya siku 30

    Duuuu umeamua umkatishe tamaaa,
  8. G

    JamiiForums Tanzania Lowassa abadili protokali ya CHADEMA mikutanoni

    Ila ukweli siku zote huuma hata ukibisha kwa minajili ya kujifariji
  9. G

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

    Hakika na hilo lilikuwa jambo la msingi, kikubwa hatumii taaluma ya mtu anatumia taaluma yake ila alitumia nafasi na akaitendea HAKI big up
  10. G

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

    Tunashukuru mh Mwigulu Nchemba kwa ufafanuzi murua , piga kazi tunaona uwezo wako ulivyomkubwa katika kutimiza majukumu yako MUNGU AWE PAMOJA NAWE
  11. G

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

    Lakini zamani mtu asipochaguliwa kujiunga sekondari mtu alikuwa anaweza kurudia hata Mara 2 tena kwa majina tofauti lilikuwa jambo la kawaida sana
  12. G

    JamiiForums Tanzania Hivi Mwenge wa Uhuru huwa unakimbizwa Zanzibar?

    Unakimbizwa kote bara na visiwani
  13. G

    JamiiForums Tanzania Hivi Mwenge wa Uhuru huwa unakimbizwa Zanzibar?

    Tanzania tulipata uhuru mwaka gani? Tanganyika najua ni 1961, zanzibar lini? Nisaidieni ndugu zangu.
  14. G

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Aliyewahi kuwa Meya wa Dar, Dr. Didas Massaburi afariki, Rais atuma Salamu za rambirambi

    Mwanga wa milele umpe Ee Bwana apumuzike kwa Amani.
Back
Top Bottom