Recent content by G1992

  1. G

    Mnajichua vibaya na ndiyo maana mnalalamika kukosa nguvu

    Punyeto ni mbaya acha tuu, tafuta mmoja kama ni mwanamke ukipata mwanaume wako 1 muaminiane , kama ni mwanaume tafuta mwanamke wako 1 muaminiane mfanye real thing
  2. G

    Msaada maumivu tumboni na pande zote kulia na kushoto kupelekea ganzi mikononi na miguuni

    Habari ya muda huu ndugu wana jamii forum, mimi ni kijana wa kiume umri ni miaka 30. Nina shida ndugu zanguni naomba msaada wenu hata wa kimawazo maana sijui nianzie wapi. Ni hivi, kwa muda sasa yapata miezi 3 nimekuwa niki sumbuliwa na tatizo la kupatwa na maumivu maeneo ya tumboni japo sijui...
Back
Top Bottom