Recent content by G Jonathan Kamenge

  1. G Jonathan Kamenge

    GE2025 Tuendelee kushiriki mchakato wa uchaguzi mkuu ili tupige kura za uchafuzi mkuu wa taifa letu!!?

    Kushiriki Mchakato wa Uchaguzi kwa Mtanzania yeyote si jambo linaloepukika hasa kwa sababu huu ni msimu na wakati hasa wa uchaguzi, na kusema kweli kila siku ya kila wiki, ya kila mwezi, kwa kila mwaka tunafanya uchaguzi kwenye mambo mengi; isipokuwa uchaguzi Mkuu wa Taifa letu ilipaswa...
  2. G Jonathan Kamenge

    Kwani RC Chalamila ana mashaka na uwezo wa Rais Samia kuongoza mabadiliko!!?

    Mnisamehe lakini sasa budi niulize maswali yangu kadhaa, nipate mantiki na uelewa na nipate majibu ya kimantiki ya Mkuu wa Mkoa wa Daresalaam. Kwanza braza Chalamila anisaidie kuelewa ni Watanzania wangapi wanaishi "Ikulu" , Boma, Ushuani na ni wangapi wanaishi "Kitaa" na ikiwa anajua kwamba...
  3. G Jonathan Kamenge

    Kwa hili, nitasimama na Askofu Gwajima

    Nitasimama na Gwajima. Wakati alipojitokeza Askofu Josephat Gwajima kupinga ulazima wa chanjo ya Korona, niliandika kusema nitasimama na Gwajima na hoja zangu zilikuwa dhahiri, ingawa pia wakati alipoamua kugombea Ubunge niliandika kusema sitasimama na uamuzi wake huo na hoja zangu zilikuwa...
  4. G Jonathan Kamenge

    Martha Karua na Falsafa ya Wagombanapo ndugu!

    Adabu. Niruhusuni mimi nitumie neno "kiasi" kuelezea utovu wa adabu na ukosefu wa nidhamu wa kuingilia mambo ya kifamilia ya familia nyingine na kudai hiyo ni "haki". Kuna tofauti kati ya upumbavu na hekima na yaonekana baadhi yetu somo hili bado ni gumu kwetu. Moja ya tabia za wakoloni wa babu...
  5. G Jonathan Kamenge

    PreGE2025 CCM ilipaswa kulinda Demokrasia ya kuchagua na kuchaguana ndani ya chama badala ya hivi ilivyofanyika

    Well, assumption ni dalili ya ugonjwa mbaya na mimi sipendi to assume kwamba nafahamu umri wako, but the fact kwamba unatumia jina fichu mtandaoni, na kwamba HUNA uwezo wa kujenga na kushindanisha hoja kwa hoja isipokuwa kurusha visentensi tata hapa na pale, endelea kuwa msomaji badala ya...
  6. G Jonathan Kamenge

    PreGE2025 CCM ilipaswa kulinda Demokrasia ya kuchagua na kuchaguana ndani ya chama badala ya hivi ilivyofanyika

    Tafsiri yako ya kupotosha ni nini!? Maybe it doesn't make sense to you because your ability of appreciation to issues is diminished!!?
  7. G Jonathan Kamenge

    PreGE2025 CCM ilipaswa kulinda Demokrasia ya kuchagua na kuchaguana ndani ya chama badala ya hivi ilivyofanyika

    Kama ungeonyesha uwezo wa kujenga na kutetea hoja yako, huenda tungejadiliana, haitoshi kutumia neno "upotoshaji" kama huwezi kulitafsiri. Anyway, mjadala huu unahitaji maturity of mind na kama hujafikia hapo, bado unaruhusiwa kuwa na kutoa maoni yako
  8. G Jonathan Kamenge

    PreGE2025 CCM ilipaswa kulinda Demokrasia ya kuchagua na kuchaguana ndani ya chama badala ya hivi ilivyofanyika

    Mradi sijatukana na wewe hujatukana, naheshimu maoni yako. Kwamba umependa au hujapenda, pia huo ni uchaguzi wako kama ambavyo nimechagua kutojali ikiwa umependa au hujapenda mawazo yangu.
  9. G Jonathan Kamenge

    PreGE2025 CCM ilipaswa kulinda Demokrasia ya kuchagua na kuchaguana ndani ya chama badala ya hivi ilivyofanyika

    Umesomaje nilichoandika!!? Unafahamu tofauti ya kuwa Mwanachama, Shabiki na Muumini!!? Kupotosha ni kufanyaje walau kwa tafsiri yako!!? Hujapenda!!? Kusema kweli sitarajii ninachoandikwa kupendwa na kila anayesoma na hivyo wewe ni sehemu ya ambao hawajapenda, nilitarajia wawepo wasiopenda
  10. G Jonathan Kamenge

    PreGE2025 CCM ilipaswa kulinda Demokrasia ya kuchagua na kuchaguana ndani ya chama badala ya hivi ilivyofanyika

    Hizi ni salaam zangu kwa Katibu Mkuu wa CCM (ambaye kimsingi ndiye Mratibu Mkuu wa shughuli za chama. Pamoja na kwamba binafsi siyo mwanachama wa chama chochote cha siasa, ni muumini wa siasa za Tanzania kwa utanzania wangu na shabiki wa CCM kwa sababu kadha ambazo nitazieleza siku nyingine, leo...
  11. G Jonathan Kamenge

    Kama Vyombo vya Dola vingekuwa vinazingatia Sheria na Mfumo wa Haki Jinai wasingekuwa wanahusishwa na matukio ya utekaji

    Mzee Butiku anasema IGP, Mkuu wa Usalama wa Taifa, na hata CDF "wasitwambie hawajui". Lakini huenda hawajui! Ingawa kama ni kweli kwamba hawajui, maana yake ni kwamba hali ya Usalama wa taifa letu ni mbaya kuliko wakati wowote ule katika historia yetu walau kwa kipindi cha miaka ishirini...
  12. G Jonathan Kamenge

    Kutekwa na kuuawa watanzania na tafsiri ya uwajibikaji

    KUTEKWA NA KUUAWA WATU NA TAFSIRI YA UWAJIBIKAJI. Hayati Ali Hassan Mwinyi wakati huo akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi (1975-1977) alijiuzulu nafasi yake ya Uwaziri kwa sababu ya kosa la kiutendaji la watendaji wa Wizara yake lililogharimu maisha ya Watanzania kadhaa. Historia ikaandikwa...
Back
Top Bottom