Mtu anapogundua kuwa amepata tatizo la kusikia anashauriwa mara moja kwenda kituo cha afya kilichoko karibu na kuomba kuonana na mtaalam wa masikio Ili ampime uwezo wake wa kusikia.
Matumizi ya Mashine ya masikio:
Mtu anapogundulika ameanza kupata ukiziwi, atapewa msaada wa kitaalam kuendana...
Ni kweli kabisa hata nyie wazima sasa hivi ni walemavu watarajiwa, hujafa hujaumbika hivyo ni vyema tusaidiane kutetea haki za watu wenye ulemavu Kwa pamoja ili wapate fursa sawa.
Suala la mkalimani ni kama kifaa ambacho mtumishi yeyote anahitaji kama vile computer kuwezakufanya kazi zake vizuri.
Walemavu viziwi wanatengwa kwa kisingizio cha mkalimani, je mbona kuna wasaidizi wengi wa vongozi wanaajiriwa iweje mkalimani?
kama kiziwi ana uzoefu na anawakilisha vizuri...
Unajua wapo viziwi wenye elimu na uzoefu mfano Mkurugenzi wa FUWAVITA, Bi Aneth Gerana ambaye ni kiziwi wa kwanza Tanzania kufika chuo kikuu ana uzoefu mkubwa sana.
Amesaidia wanawake wenye ulemavu karibia 550 kupitia kuwawezesha kwa kuwapa mbinu za Ujasiriamali.
Pia ana degree ya sociology...
Kwa miaka mingi tangu Tanzania ipate uhuru wa bendera haijawahi kutokea kiziwi akapata nafasi katika uongozi , iwe
Ubunge, Udiwani, Umeya, ukuu wa wilaya , Ukuu wa Mikoa, Katibu tawala na hata Ukurugenzi. Katika teuzi za wakurugenzi za Rais Samia hatujaona akiwakumbuka walemavu wa uziwi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.