Recent content by Fursatz

  1. F

    JamiiForums Tanzania Hodi Hodi Hodi

    Asante .Ndo naanza mkuu...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Hodi Hodi Hodi

    Asante ndugu. Haya weka namba nikuingizie fasta. Nisendi hayo mambo ya kubaniwaga
  3. F

    JamiiForums Tanzania Hodi Hodi Hodi

    Kiapo kibaya Lubede. Usipende kuapia vitu vya kijinga kama hivyo
  4. F

    JamiiForums Tanzania Hodi Hodi Hodi

    Wenyeji mpooooo. Habari zenu wana jukwaa,naomba mnikaribishe na mnielekeze,mnisaidie na kunikosoa pale panapohitajika. Hodi tena kwa mara nyingine.
  5. F

    JamiiForums Tanzania "Jeshi la Bodaboda" lidhibitiwe kabla halijawa tatizo lililoshindikana

    Huku kwetu bodaboda wanaogopwa kama ebola. Kuna jamaa alikuwa akichukuliwa mke wake na kijana wa bodaboda,alipotaka usuruhishi kiroho safi bodaboda alitakiwa kulipa fain ya laki moja. Baada ya siku kadhaa kupita kundi kubwa la bodaboda lilivamia nyumba yake kumpiga na kumsababishia ulemavu wa...
Back
Top Bottom