Recent content by Fupe

  1. Fupe

    Tahadhari!!Tapeli SUGU wa kuswap line na kuiba mtandaoni!

    Pia huyo tapeli si kama yupo pekeake ni mtandao mkubwa huo kwasababu yule mzee alikua anasema kua alikua akipigiwa simu na hua anazungumza na watu tofauti anasema wakati mwingine alikua akizungumza hadi na sauti ya kike.
  2. Fupe

    Tahadhari!!Tapeli SUGU wa kuswap line na kuiba mtandaoni!

    Siku moja nilikua CRDB pale azikiwe Branch Kuna Mzee mmoja alikua analalamika kutapeliwa kwa njia iyo ila imi nilikua sijamuelewa vizuri yule Mzee Lakini leo kupitia JF ndiyo nimeweza kuuelewa vizuri huo utapeli jinsi unavyofanyika Hongereni sana wadau pamoja na JF.
  3. Fupe

    Tahadhari!!Tapeli SUGU wa kuswap line na kuiba mtandaoni!

    Siku moja nilikua CRDB pale azikiwe Branch Kuna Mzee mmoja alikua analalamika kutapeliwa kwa njia iyo ila imi nilikua sijamuelewa vizuri yule Mzee Lakini leo kupitia JF ndiyo nimeweza kuuelewa vizuri huo utapeli jinsi unavyofanyika Hongereni sana wadau pamoja na JF
  4. Fupe

    Tahadhari!!Tapeli SUGU wa kuswap line na kuiba mtandaoni!

    Ahsante sana kwa kutuhabarisha na kutuelimisha
Back
Top Bottom