Yaan unasema wakati wa kwenda Dar ulipata sana shida na watu walikuwa wanalalamika kuwa huduma ni mbovu, ila wakati wa kurudi ukaenda tena kwenye kampuni hiyo hiyo iliyokupa shida. Tukisema ww ni muongo upo hapa kuchafua biashara ya watu tutakuwa tumekosea!???
Kampuni nyingi za watu binafsi ubabaishaji mwingi, mishahara ni mikubwa kwenye makaratas ila kiuhalisia hadi upate mshahara hesabu trh za 40 hadi 50. Pia serikalini unafanya bila pressure kubwa na unalipwa vitu vingi kama Likizo na usafir, bima za afya kwako na familia yako za uhakika, semina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.