Recent content by Fumbuka

  1. F

    JamiiForums Tanzania KASHFA KWENYE BAJETI 2010/11: Shilingi Bilioni 500 zimeenda wapi?

    Rais Kikwete hajui bajeti ya serikali yake mwenyewe? JUNE 10, 2010 Kwenye website ya Wizara ya Fedha, hotuba iliyowekwa inasema hivi: "Mheshimiwa Spika, Serikali imepanga kutumia jumla ya shilingi 11,609.557 bilioni (trilioni 11.6) katika mwaka 2010/11 kwa ajili ya matumizi ya kawaida na ya...
  2. F

    JamiiForums Tanzania KASHFA KWENYE BAJETI 2010/11: Shilingi Bilioni 500 zimeenda wapi?

    Natanguliza salaam kwa wana JF wote, Kuna jambo limekuwa linanitatiza labda wenzangu mnaweza kunisaidia kupata ufafanuzi. Kumekuwa na utata mkubwa kuhusu jumla ya pesa ambazo serikali imepanga kutumia kwenye bajeti yake mpya iliyopitishwa na Bunge hivi karibuni. Je, bajeti ya serikali kwa...
Back
Top Bottom