Recent content by fulweh

  1. F

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco gongo la mboto,chanika ,majohe, kunatatizo gani? Toka jana mnakata umeme kuanzia saa 6 hadi saa 4usiku
  2. F

    Watanzania waliopo nje ya nchi watapataje vitambulisho vya Taifa?

    Kama mgeni panda basi linaloenda ferry ukishuka mwisho unarudi kufuata barabara ya mwendo kasi upande wako wa kulia ofisi za takwimu kuna nida na uhamiaji
  3. F

    Watanzania waliopo nje ya nchi watapataje vitambulisho vya Taifa?

    Nenda nida wilaya ilala ofisi zao zipo kivukoni front pale utapewa form ndio mchakato unaanza utaenda serikali za mtaa utagongewa muhuri,kama in mfanya kazi mwajiri wako atagonga muhuri ,unatakiwa viambatanisho utoe copy.
  4. F

    Ajali Igunga, Tabora: Basi la City Boy limegongana na Fuso. Watu 12 wafariki dunia na 46 kujeruhiwa

    Wamefariki 12, wanaume wanane wanawake watatu na mtoto mmoja,m mungu awalaze pema waliotangulia
  5. F

    Nisaidieni Msemaji wa Polisi ACP Mwakalukwa anagombana na nani sasa Cloudstv 360?

    Enyi waandishi wa habari mkiwa mnafanya mahojiano na hawa wenye mihemko muwe na miamvuli au mifuko kufunikia vitendea kazi sivyo mtapata kazi ya usafi kila ck
  6. F

    NIDA Morogoro msinitafutie kufungiwa

    Niliandikishwa 2013 na wameshatuma msg nije ofs za nida wakati huo gongo la mboto siku niliyofika nikajibiwa mashine iko msongola nikaondoka sijakanyaga tena,wiki iliyopita nikaenda nida w ilala ,wakaangalia kwenye mtandao hata jina hakuna,nikaona Haya mazito.kwa hiyo nianze upyaa.mwaka huu...
  7. F

    Uhamiaji wamhoji Abdul Nondo kuhusu uraia wake. Wamtaka apeleke cheti cha kuzaliwa chake, wazazi wake,mababu na mabibi

    Wamfukuze kama sio raia.maana tukianza kuhoji uraia tutafukuzana wengi tu.
  8. F

    Uhamiaji wamhoji Abdul Nondo kuhusu uraia wake. Wamtaka apeleke cheti cha kuzaliwa chake, wazazi wake,mababu na mabibi

    Hats Hugo alieomba cheti cha kuzaliwa cha babu na bibi was nondo apimwe mkojo.vyeti vilianza kutolewa 1961 tulipopata Uhuru, kama walizaliwa wakati huo,na inategemea,wengine wamezaliwa majumbani hata hz kadi za kliniki hawana.
  9. F

    Nisaidieni Msemaji wa Polisi ACP Mwakalukwa anagombana na nani sasa Cloudstv 360?

    Kweli kabisa yule mama alikuwa anaitendea haki nafasi yake ,taratibu na kwa heshima ya fani alikuwa hafoki kama faru aliejeruhiwa.ni pole pole kwa lugha inayoeleweka.
  10. F

    Wizi wa TV unashika kasi sana hapa Dar... Tuwe macho!

    Huku kwetu chanika wanaingia mchana kweupe,ila aliibiwa bosi wao kwenye baa yake walikusanywa vibaka wote wa. mitaa hiyo
  11. F

    Wizi wa TV unashika kasi sana hapa Dar... Tuwe macho!

    Wakiibiwa wao difenda zitasambaa vitongoji vyote.
  12. F

    Tunaporudi kazini jumanne.. Fao la kujitoa tusijisumbue kuulizia tena

    Ni kweli kina ndio wengi,ni wauza mboga.hawana hasara hao dela na kanga inatosha kila baada ya miaka mitano.hasara si tunaochanganyiwa mafuko yetu kwenye hill fuko litakaloibuka kesho.
  13. F

    Tunaporudi kazini jumanne.. Fao la kujitoa tusijisumbue kuulizia tena

    Kesho fuko jipya rasmi,sijui atachaguliwa Prof nani aliongoze hill fuko litakalotutia umasikini.
  14. F

    Maoni yangu juu ya tukio la Askari Polisi dhidi ya Mwanajeshi katika benki fulani jijini Dar es Salaam

    Unadhani utani! Kama uamini njoo ujionee vituko vya polisi na wapita njia hasa wa kariakoo.
Back
Top Bottom