kuna vitu kadhaa vinasababisha hili tatizo...kupungukiwa na maji mwili kunafanya mzunguko wa damu usiwe mzuri na hewa,kama umewahi kupata kidonda au kuchomwa na kitu kikali mwilini na vitu kama sindano pia inachangia lakini pia potasium ikipungua mwilini pia jitahidi kufanya mazoezi ila usizidishe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.