Wewe unasema uongo unaonekana huna hata kumbukumbu:-
i. Hivi Makamu wa Rais hukumuona Kenya alivyomtembelea Lusu Hospitali
ii. Hukuona Rais aklivyo tweet kwenye Twiter.
iii. Lisu alikaa upande wa kushoto wa dereva ni kwa nini Lisu risasi nyingi zilimpata upande wa kushoto .
iv.Huyo dereva wa...
Ni kweli wewe uko serious kweli , watu hatulali usiku kwa ajili ya watanzania muwe salama salmini , yote hayo huyaoni mahospitalini, polisi, jeshi na Taasisi zote alafu unatutukana .Hivi kosa la mtu mmoja unaweza kuhukumu kundi kubwa la watu, itabidi tukufahamu vizuri , maana inasikitisha sana.
Acha uzushi hao vijana wanafahamika na wazazi wao tunao na likizo wanakuja usipotoshe tunawafahamu na wanatufahamu wamesoma na watoto wetu wote ni niwa Tanzania
Sonara ni yule anayetegeneza marembo ya dhahabu, fedha na kadhalika , lakini mchonga vito anaitwa lapidary na hawa huwa wanakuwa watu wengi kwa kawaida nenda India kiwanda kimoja kina watu karibu mia na kuendelea na huyu nadhani ndo anaanza
FInancial Times
Please use the sharing tools found via the share button at the top or side of articles. Copying articles to share with others is a breach of FT.com T&Cs and Copyright Policy. Email licensing@ft.com to buy additional rights. Subscribers may share up to 10 or 20 articles per month...
Umoja wa Ulaya (EU) umerithishwa na ujenzi wa maabara ya kisasa ya Tume ya Nguvu za Atomiki (TAEC) ikiwemo uwekaji wa vifaa vyenye thamani ya zaidi ya sh, bilioni 2.3.
Umoja wa Ulaya (EU) umeridhishwa na ujenzi wa maabara ya kisasa ya Tume ya Nguvu za Atomiki (TAEC) ikiwemo uwekaji wa vifaa vyenye thamani ya zaidi ya sh, bilioni 2.3.
Akizungumza mara baada ya kutembelea maabara hiyo, Meneja Mradi na Usalama wa Masuala ya Mionzi, kutoka EU, Genevieve Lizin...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.