Recent content by Fuentes

  1. F

    Ushauri wa Bure kwa Kikwete Kuhusu Makamba Kutaka Kuwa Rais

    kujaribu ndo kufanya watz,tuangalie mfumo mpya kuliko kurudia uleule kwa matumaini kwamba kuna siku tutampata anayetufaa ilhali kila siku madudu tupu. mfumo ndo uleule hakuna maajabu kwa huyo mkaka.
  2. F

    Mapenzi ya mwalimu na mwanafunzi

    mie nafahamu kuwa walimu wa namba hawana mawazo mepesi kama yako, au ndo uchakachuaji umekufikisha hapo?
  3. F

    Maoni yangu: Umaarufu wa Mh.Zitto umeshuka kwa 75%

    baada ya kukutwa na scandal,sikutegemea zzk aendelee kuwa juu maana yeye si jua. kushuka umaarufu kulitarajiwa mara.
Back
Top Bottom