Karibuni sana watu wangu wa nguvu hii ni fursa pia kwa wasio kuwa na kazi unaweza kuja kuchukua sample ukipata oda unakuja nakupa mzigo uchague kulipwa kwa mwezi au kwa siku,[emoji106]
Kwanza karibu boss wangu
Pili inategrmea na nguo kwanfano mashati hatuwezi kufanya kwa Bei hiyo
Ila Kuna nguo kama jinsi nashuka inastahili elfu 10 boss
Hello naitw pendo namiliki KIKUNDI kidogo kinachojihusisha na masuala ya kufua nguo.
Duduma zetu tunatoa kwa njia ya mawasiliano.
Tuanakufuata ulipo ndani ya dar es salaam
Bei zetu ni kuanzia 10000 kwa nguo Tano
Karibuni sana kwa mawasiliano
0612964910
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.