Wayahudi hawaruhusu jirani awe na msuli wa kijeshi kwa sababu za kiusalama. Hamas wanaponza sana rain wao kwa style ya kishamba ya vita kufanya human shield. Vichwa vigumu kama Netanyau au Ariel Sharon enzi zake ni balaa .... you'll be gifted Fire and Fury [emoji91]
Yaani OS yao itakuwa compatible na Android? Kwani Android siyo OS? OS (Operating system) inatakiwa kuwa compatible na Hardware...... Hapa ulitakiwa kusema Huawei watatengeneza OS ambayo itafanya kazi kwenye Hardware zao zilizokuwa zinatumia OS za Android....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.