habari zenu, naomba kama kuna mtu anajua bei za viwanja orkesmet mjini kwa sasa anijuze. kiwanja kipo mtaa wa bomani karibu na kituo cha polisi. ukubwa ni 1200 square meter (kama miguu 40 kwa 40). kina hati na hakina migogogro. napenda kuwa na idea ya bei nisje ingizwa mkenge. ni eneo stendi...
za kwenu wapendwa. jamani natafuta mtu anaesoma population and development. mie niko first year open university. sasa material ndo taaabu kwelikweli. masomo mengine hata course outline hakuna. anaesoma hii kitu please msaada.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.