Recent content by Fridahlema

  1. F

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati BBA na BBM

    Naomba kujua tofauti kati BBA na BBM hizi course kwani zinautofauti? Msaada wenu nahitaj kujua kwa undani
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kukata rufaa Bodi ya Mikopo

    Nipo IAA
  3. F

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kuappeal mwaka huu HESLB na sijafanya usajili bado na kwenye appeal form wanahitaj reg no, nafanyaje hapo?

    IAA wao wanasema no ya registration mpk uwe umefanya usajil ndo upewe no
  4. F

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kuappeal mwaka huu HESLB na sijafanya usajili bado na kwenye appeal form wanahitaj reg no, nafanyaje hapo?

    Naombeni msaada wa hilo swali plz kwani sielewi mpaka sasa nifanye nini angali sijapata registration no ya chuo kutokana na kukosa ada ya kujisajili na form ya kuappel kuna kipengele cha kujazwa reg no
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kukata rufaa Bodi ya Mikopo

    Jamani wapendwa mimi naomba mnisaidie nataka kuappeal ifikapo iyo tareh 6 lakini sijafanya registration chuoni kutokana na kukosa ada nakwenye appeal form kuna kile kipendele cha registration no sasa apo ntajaza nn na sina reg ño msaada please coz mpk sasa sielewi ntajaza nn apo
Back
Top Bottom