Recent content by freyma

  1. F

    UDAHILI 2019/2020

    Tomentosa:unaweza ukanijulisha ni chanzo gani ulocho pata taarifa kuhusu udahili utakuwa tarehe 24 mwezi wa tisa
  2. F

    UDAHILI 2019/2020

    Unakwenda chuo husika Fanya maombi mambo yanakuwa fresh
  3. F

    UDAHILI 2019/2020

    Inawezekana tu unatumia panel ya chuo husika chamsingi endapo tangazo la kozi unayotaka kuomba imefunguliwa
  4. F

    UDAHILI 2019/2020

    Coz nacte hata wizara ya ualimu sijabahatika kuona udahili wa ualimu certificate utafanyika tarehe gani so naomba unifahamishe ##Tomentosa
  5. F

    UDAHILI 2019/2020

    Tomentosa### asante kwa kunijulisha ila naomba kujua chanzo gani naweza pata Maelezo ya udahili
  6. F

    UDAHILI 2019/2020

    Mmh,,unamaana huenda wakatoa kwa siku zijazo?
  7. F

    UDAHILI 2019/2020

    Habari zenu,naomba kujuzwa kwa yeyote anae jua kuhusu udahili wa ualimu kwa ngazi ya cheti kwa mwaka wa masomo 2019/2020,coz naona kimya na cjaona taarifa yoyote ihusuyo na udahili ualimu kwa mwaka huu.
Back
Top Bottom