Mwene, wewe acha Mwl Mwang'onda alikuwa noma mm nilisoma kibasila jamaa alikuwa anatandika bakora si mchezo yule bwana, sekondari nilisoma Pugu wee kulikuwa na vichwa viwili hivyo mmoja alikuwa Wajimila aka Cobra na mwingine alikuwa anaitwa Mukulu usiombe uingie anga zao hao ni noma, hasa huyo...
Miwatamu umesahau, ukiwa umebeba mfuko wa karatasi ambao unaonekana ndani una kitu mgambo anakukamata kutaka kujua umebeba nn na ukikutwa na sukari au mchele utawaeleza umeutoa wapi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.