Recent content by Freiheit

  1. F

    Utupaji masalia ya makaa ya mawe (coal ash) katika Barabara za mitaa kwenye makazi ya watu maeneo ya Kunduchi Salasala

    Mabaki hayo yana athari kubwa ila wengi wetu tunapenda kuchukulia vitu kiurahisi Sana bila kujali athari zake kiafya na mazingira. Soma hii bila kuharibu maana: "Coal ash, also known as coal combustion residuals (CCRs), is the mineral residue that remains from burning coal. Exposure to coal ash...
  2. F

    Utupaji masalia ya makaa ya mawe (coal ash) katika Barabara za mitaa kwenye makazi ya watu maeneo ya Kunduchi Salasala

    Coal ash contains contaminants like mercury, cadmium and arsenic. Without proper management, these contaminants can pollute waterways, ground water, drinking water, and the air.
  3. F

    Utupaji masalia ya makaa ya mawe (coal ash) katika Barabara za mitaa kwenye makazi ya watu maeneo ya Kunduchi Salasala

    Tusikumbatie dhana ya ubunifu wa miradi bila kuangalia athari au madhara yatokanayo na uanzishwaji wa miradi ya aina hiyo Kwa afya za binadamu na mazingira. Lipo tatizo la viwanda kusaka maeneo ya kutupa taka au masalia ya viwandani kwa kuwalipa wahusika ambao hutoa maeneo hayo ili...
  4. F

    Utupaji masalia ya makaa ya mawe (coal ash) katika Barabara za mitaa kwenye makazi ya watu maeneo ya Kunduchi Salasala

    Majibu yako yanadhihirisha hujikiti kwenye kutafuta Tiba ya tatizo bali kufanya ili mradi umefunika tatizo huku ulijuwa ni dhahirii litaibukana sura mpya. Yaani kumwaga taka hatarishi Kwako ni bora kuliko kuwa na barabara mbovu?
  5. F

    Utupaji masalia ya makaa ya mawe (coal ash) katika Barabara za mitaa kwenye makazi ya watu maeneo ya Kunduchi Salasala

    Family Soap. Kipo eneo hilo la Salasala na chini ya himaya ya Mwenyekiti huyo wa Serikali ya Mtaa.
  6. F

    Utupaji masalia ya makaa ya mawe (coal ash) katika Barabara za mitaa kwenye makazi ya watu maeneo ya Kunduchi Salasala

    Nitumie hizo namba ili wachukue hatua haraka. Taka hizi zina masalia ya kemikali mbalimbali ambazo zikiachwa kusambaa katika eneo hilo ambalo maji hujaa na kutuwama KWA kipindi kirefu, ni hatari KWA afya na maisha ya wakazi wa eneo hilo lililopo Salasala nyuma ya KANISA LA NABII FLORA...
  7. F

    Utupaji masalia ya makaa ya mawe (coal ash) katika Barabara za mitaa kwenye makazi ya watu maeneo ya Kunduchi Salasala

    Kuna kiwanda kimoja maeneo ya Kunduchi Salasala kinachotumia nishati ya makaa ya mawe (coal) kuzalisha bidhaa za sabuni. Ni hivi majuzi kimeanzisha utaratibu wa kusambaza, kwa kutumia magari ya kiwanda, masalia ya coal iliyotumika (coal ash) na kuyamwaga katika Barabara za mitaa. Kabla ya...
Back
Top Bottom