Recent content by freetalktoall

  1. F

    JamiiForums Tanzania Ubadhirifu unaochochewa na tamaa kwa watumishi wa umma Manispaa ya Temeke

    Ni habari ya kusikitisha mpaka nyakati izi bado utekelezaji WA mambo mbali mbali KATIKA ngazi za serikali yanahusisha ujamaa na sio mifumo IMara. Habari iliyopo ni kwamba manispaa ya Temeke bado hawaoni umuhimu wa maagizo ya wanasiasa kwenye utendaji wao si Kwa uadilifu walio nao ivyo pengine...
  2. F

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tabia ya polisi kupiga watuhumiwa

    Safi Kwa kupaza sauti polisi wetu Wana changamoto hii ivyo ni vyema elimu ya kutosha ikatolewa. Polisi ni raia kabla ya dhamana walizonazo ivyo inawapasa kuzingatia haji za raia webzao kwani maisha ni duara. Pengine elimu ya kutosha juu ya wajibu wao ingeongezwa na pia namna zao za...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Twendeni lkn...ogopa sana human trafficking...utajuta.
Back
Top Bottom