Jamani ndugu zangu, hawa jamaa ni matapeli, wanatumia majina tofauti tofauti. Kwenye hiyo ofisi yao, wanatumia majina km vilw RAFIKI ELIMU FOUNDATION, NEEMA RECRUITMENT AGENCY, NEEMA HERBALIST. Owanaishi kwenye nyumba ya kupanga ambayo iko changanyikeni, nyumba hiyo haina wanaitumia km ofisi...