Recent content by Freemanson_tz

  1. F

    Suala la Wamachiga: Hayati Magufuli asitumike kama gold standard

    Habari JF Wiki kadhaa zilizopita Serikali ilianzisha kampeni ya kuhakikisha maeneo yetu yanarejea katika hali nzuri kwa kuhakikisha kuwa wafanyabiashara maarufu kama wamachinga wanawekewa uratatibu mzuri wa kufanya biashara zao huku mazingira yakibaki safi na salama kwa ajili ya matumizi na...
  2. F

    NACTE na maamuzi ya utata kuhusu mitihani ya marudio kwa wanafunzi wa vyuo vya kati: Je, Waziri wa elimu anafahamu kilio hiki?

    Hongera sana kwa andiko hili. Bila shaka wenye mamlaka wataliona na kulifanyia kazi haraka.
Back
Top Bottom